Date Range
Date Range
Date Range
Dans quelques heures, et quelques cours,.
Aquaculture and Environmental Services Company LTD Tanzania. Jumamosi, 4 Julai 2015. Inapozungumzia harakati haisiti kusema AHSANTE SANA FETA. A ni wakala wa elimu ya uvuvi hapa nchini Tanzania zamani kwa bagamoyo kilitambulika kama MBEGANI. Inafanya,huenda hata taasisi hizi za uvuvi hazifahamu ushirikiano huo upoje.
Retape dans le champ ci-dessous la suite de chiffres et de lettres qui apparaissent dans le cadre ci-contre.
UDHURU KATIKA VICOBA NI KUTOKUJITAMBUA. Mwanachama yeyote anayejiunga kwa ridhaa yake katika kikundi chochote kile kwa manufaa yake na jamii nzima ni lazima ahudhurie kila kikao cha siku iliyopangwa na kikundi. Nashauri wanavikundi mukutane wote kila kikao kwa siku iliyopangwa itokee bahati mbaya mwanakikundi awe na safari, amefiwa, au kuumwa. Lakini kama unajitambua unaweza kutenga dakika 45 kila siku iliyopangwa ili kuhudhuria vikao. Monday, 11 November 2013.
Abonne-toi à mon blog! Poster sur mon blog.